Wakuu salaam.

Naombeni msaada wenu, niko mwanza nafanya utafiti na nina dodoso ambalo nataka kufanya mahojiano (interview) na watu wa LVBC katika ofisi zao za mwanza. Naombeni msaada kama kuna mtu...