Usafiri wa daladala una raha zake hata kama una pesa mpaka unaumwa! Mkenya mmoja alikuwa meneja kwenye kampuni fulani ya magazeti hapa Tanzania, bosi huyu alikuwa na gari lake binafsi lakini pia...