Jamani humu ndani mtu akiomba ushauri anatarajia kupata mawazo ambayo yataenda kuwa msaada kwa kile kilichomsukua kuomba ushauri au mawazo lakini naona wengi humu wanafanya mchezo kwa kutoa majibu...