Michizi iko mingi. Soksi ya mtumba inauzwa elfu 3 wakati soksi mpya inauzwa elf 1 lakini bado jitu linakimbilia mitumba. Yaani kina dada ndio machizi original, sidiria na chupi mpya zimejaa tele...