Close

Search:

Type: Posts; User: alemi ima; Keyword(s):

Search: Search took 0.00 seconds.

 1. Re: KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  nasikia serikali ya nchi yetu imeamua bora liende. Kidato cha II wote wanaoingia kidato cha III mwaka huu watakwenda wote hata kama hawajui kusoma na kuandika. Ama kweli hili ni taifa la mbulula
 2. KWA JINSI HII ELIMU YETU ITAPIGA HATUA KWELI?

  Mwaka wa masomo umeanza.
  Wanafunzi wanapanda madarasa, kutoka darasa la chini kwenda juu.
  NAITAZAMA KWA MAKINI ELIMU YA SEKONDARI.

  Wanafunzi wanashindwa mtihani sana sana sana. Kila kukicha...
Results 1 to 2 of 2