Close

Search:

Type: Posts; User: NgaleleFijo; Keyword(s):

Page 1 of 20 1 2 3 4

Search: Search took 1.08 seconds.

 1. Re: WITO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU LIPUMBA

  huyu mzee hafai kabisa
 2. Re: Prof Lipumba amelala katika ofisi za Cuf, Buguruni

  huyo professa ni punguwani kabisa kama ndio hayo ha ha
 3. Re: BREAKING NEWS: LIPUMBA AONDOSHWA MAKAO MAKUU CUF

  Hawajaingia bado tunawatakia kila la heri
 4. Re: Rais Magufuli unaowalalamikia mbona hawakujibu?

  Kapoteza dira huyo hana mbele wala nyuma
 5. Re: MwanaKJJ IJUMAA: WANA MAANISHA AU WANATANIA? SIYO KILA UTANI UNACHEKESHA

  Mwanakijiji mtumba wa marekani arudi naona vihera alivyopewa wakati wa uchaguzi vimemuishia basi kakazana kweli na mada kwa kutumia kila aina ya jina
 6. Replies
  3
  Views
  318

  Re: NHC: Hatujamuonea Mbowe

  NHC shame lakini Mchechu ajuwe amekuwa spared for a minute atalia kilio cha mbwa kwanza amejihusisha kwenye madili ya kibiashara ya hovyo sana
 7. Re: chadema mmechafuka jisafisheni vinginevyo mmekwisha.

  Huyu mwanamke hata kwenye uandishi hajawahi kuwa na mvuto akasikilizwa watu wasio na kalamu kama akina Mange wanadrive agenda za vijana lakini yeye kaazi kuuza mtindi tu anajikomba lakini maskini...
 8. Re: UVCCM HAWAJAWATUSI VIONGOZI WA DINI, WALICHOKISEMA HIKI HAPA

  UVCCM wakisha tumwa na Makonda huwa hawachuji kitu wanaropoka tu watu wajabu sana lakini matusi ndio silka yao kwa kweli
 9. Re: Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

  Naona wengine wananchonga sio wanachadema hao tunamwamini Mbowe yupo kwa maslrahi mapana ya watanzania
 10. Replies
  9
  Views
  843

  Re: UKUTA GUMZO NCHINI,WAPI TUMEKOSEA

  Mbona Magufuli kabwabwaja sana kaona hakuna anayemchukulia maanani maana ni mropokaji kama alidhani UKUTA watalegeza kamba kwa maneno sijaribiwi basi asubiri
 11. Replies
  3
  Views
  273

  Re: Mch. Msigwa aibomoa TCRA, aibeba ITV

  TCRA wameingia kwenye siasa pole zao ukiona watu wanataka kuziba watu midomo pole zao sasa tulia anameambiwa amevaa pumpus mbona lowassa msukuma alisema amejinyea hawakumfanya kitu
 12. Re: Rais Dr. Magufuli Leo Anatembelea Wilaya Ya Sengerema.

  Anatia huruma mtu anakatawaliwa hadi kwao mwache ajitembeze tu wameshamjuwa ni wale wale ccm mbele kwa mbele yeye anazurura zurura kw kodi za wananchi wenzake hamna
 13. Re: Tundu Lissu anajutia kosa alilotenda dhidi ya Rais Magufuli

  Kikwete kabakia dhaifu na atakuwa dhaifu mpaka atakapo kwenda kaburuni Mnyika alisema kweli Magufuli ni mtukufu wa mashetani raisi huwezi kutangazia wananchi wako kuwauwa haiwezekanai kwa hiyo...
 14. Replies
  4
  Views
  309

  Re: Tundu Lissu amfunza Magufuli

  Magufuli ni mtu wa kukurupuka mno unamuonea huruma kwa kweli
 15. Re: Mrema amtaka Lowasa akubali kuwa alishindwa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015

  Lowassa bila kutajwa hawezi kuwa mwenyekiti wa Parrol gwiji la siasa nchini
 16. Replies
  4
  Views
  293

  Re: UCHUMI WETU UNAONGOZA KWA KUKUA..

  Wakati sisi akiba tuna bilioni saba za US dollars BOT Kenya wana billion 42 halafu unapigiwa mapambio ya uchumi kukuwa huku hata miezi sita huwezi kujilisha
 17. Replies
  1
  Views
  312

  Re: JPM anavyoshindwa kulinda kauli zake

  Huyo yupo kwenye kitabu cha gunness of records kwa kutojitambuwa anadhani wenzake watakaa wamwamngalie tuu angoje tarehe 1 /9/2014 maandamanao nchi nzima
 18. Re: Ujenzi Reli ya Kati: Benki ya Exim China yatoa mkopo wa Sh. Trilioni 16 kwa Serik

  Mnafiki utamjuwa tu ooh sitaki mikopo nchi tajiri sana tutajitegemea sasa kama wenzake walivyolitia hasara taifa na yeye anarudia pale pale hana uwezo wa kujenga reli kwa fedha za ndani
 19. Re: KINANA USING'ATUKE KABLA YA KUJIBU HAYA.

  Yaani Kinana ni watu ambao wangekuwa china wangetungwa mawe shingoni na kutoswa katikati ya bahari kwa jinsi walivyovuruga nchi hii na kujineemesha na mali za umma awepo asiwepo yote hasara tu
 20. Re: HIVI NI KUBANA MATUMIZ HUKU? TUMUOGOPE MUNGU MACCM

  Hivyo vifaru helkopta,farasi mbwa wa polisi polisi usalama wa taifa ,jeshi wote wapo Dodoma bure hawa ni wafujaji wa rasilimali za nchi wanabadilishana tu mirija ya kunyonyea
 21. Re: Kinana: Waliokisaliti chama kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 watapata adhabu kali san

  Ha ha hawana jipya hao wabebwa na wajeda ccm cha motto bila polisi jeshi na usalama wa taifa kwanza hawapo
 22. Re: Je Mbunge wa CHADEMA Ruth Molel kutimka CHADEMA na kujiunga CCM?

  ha ha kwa hiyo ndio mbunge machachali muliosema aende apewe ukuu wa mkoa basi
 23. Replies
  7
  Views
  541

  Re: Ccm mnamchagua Mwenyekiti au IGP

  CCM wana hira za kijinga sana
 24. Re: DR. TULIA AONGOZA MBIO ZA TULIA MARATHON KM5 MJINI DODOMA

  wanafiki wakubwa hao sasa hayo sio mambo ya kisiasa I hate this government
 25. Re: UKAWA msipobadilika hakika mtateketea. Kumkashfu Rais kwa mabango ni upunguwani

  Huyu mtukufu wenu hataki kuambiwa uozo wake ha ha akiambiwa kweli munaita matusi mtukufu ataanguka kabla ya kufika popote

  - - - Updated - - -  Hata usukumani huyo dikteta uchwara...
Results 1 to 25 of 500
Page 1 of 20 1 2 3 4