Close

Search:

Type: Posts; User: Abdillahjr; Keyword(s):

Search: Search took 0.00 seconds.

 1. Replies
  16
  Views
  3,086

  Re: DK. KITILA ATUMIKA KUMUANGAMIZA ZITTO

  Ukweli ni kuwa urafiki na ukaribu wa Zitto na Kikwete ndio umepelekea usaliti na anguko lake na hata huyo Kitila ametumika na Zitto pasipokujua in and out!!
 2. Replies
  97
  Views
  24,532

  Re: MOHAMMED SAID. MTANDAO WA JAMIIFORUMS NI AGAINST ISLAM

  Kwa nini na huku usije na Jina lako halisi??!!
 3. Replies
  38
  Views
  6,868

  Re: Rais Kikwete na Biashara Ikulu

  Jina la id yako tu linaonyesha upo na upande wa walanguzi wa nchi,hupaswi kupinga pasipo ushahidi kwani team Membe ni watuhumiwa pia!!!
 4. Replies
  29
  Views
  6,406

  Re: MBOWE AINGIA MKATABA MNONO NA LOWASSA

  Kwa lengo la kumchafua Mbowe ili avuliwe kama Zitto halafu Zitto ndio awe bora apewe uenyekiti??! TataMadiba posts zako za upishi wa ubuyu zinajulikana tangu jf,huna tofauti na mwenye Malaria Sugu...
 5. Re: Breaking News: Confirmed: Mwigulu, Nchimbi, Ridhiwani & Kapuya Banned From The US

  Kama taarifa hizi ni sahihi basi ban ya kutokuingia USA alipaswa apigwe Kikwete na baraza lake la Mawaziri,awamu ya nne imevunja record kwa madudu na manoeuvre!!!!
 6. Re: Kumbe Zito aliwalipa vijana wa Ilala waliokwenda Mahakama kuu kumshangilia!

  Wafuasi wenyewe ndio kama hawa wakina Malaria Sugu na kina Faiza Foxy ambao ni wadau wa CCM!!

  Malaria ikiwa sugu si inapanda kichwani? Na ikipanda kichwani ufanisi wa mwili na ubongo si una...
 7. Re: Naamini bado nitakuwa Mwenyekiti CHADEMA - Zitto

  Zitto namuona anafanya mambo kama layman,unakifikisha chama mahakamani,unamshitaki katibu na baraza la wadhamini halafu anakuja na porojo za uenyekiti wa chama!! Nahisi hata mshipa wa aibu umekatika...
Results 1 to 7 of 7