Close

Search:

Type: Posts; User: Mzibondo; Keyword(s):

Page 1 of 3 1 2 3

Search: Search took 1.22 seconds.

 1. Replies
  4
  Views
  1,089

  BUNGE LAAHARISHWA KWA VURUGU

  Bunge limehaarishwa kutoka na wabunge kufanya vurugu kukataa naibu spika kupiga hoja ya kujadili hoja ya dharura kufuatia zaidi ya wanafunzi 700 wa Udom kufukuzwa chuo
 2. MAOFISA WA POLISI WATINGA MAWIO KUMTAFUTA MUHARIRI WAKE

  Habari zilizotufikia hivi sasa nikuwa polisi kanda maalum ya daersalaam watinga offisi za mawio kumtafuta muhariri mkuu wa mawio Simon Mkina ila kwa habari zilizokuwepo muhariri yupo polisi...
 3. Re: Breaking News:Dkt Abdallah Kigoda Amefariki dunia

  kwaniaba ya crew nzima ya mwanahalisi forum tunawapa pole wafiwa wote Mungu awepe subra na ustahamilivu katika kipindi hiki kigumu.
  Allah ailaza mahala pema peponi amminiiiiii.....
 4. Replies
  0
  Views
  637

  Raia wa Cameroon Hayatou kuongoza Fifa

  Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda.
  Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa kazi...
 5. Replies
  11
  Views
  1,531

  Re: MASWALI 14 KWA TWAWEZA

  usijali kaka tumeshamshughulikia
 6. Usajili CHADEMA, katika dirisha dogo, ni kuwanasa waliokosa namba first 11 ya CCM, an

  Baada ya dirisha la usajili kufunguliwa nchini TZ baadhi ya klabu zimekwisha kukamilisha uhamisho wa wachezaji.
  -Klabu ya ACT imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji hatari wa NCCR Moses Machali,...
 7. Replies
  0
  Views
  813

  Burundi wamiminika uchaguzi wa rais

  Kumetokea ufyatulianaji wa risasi na milipuko usiku kucha nchini Burundi, usiku wa kuamkia uchaguzi wa rais uliozua utata. Kiongozi wa sasa wa nchi hiyo anawania muhula wa 3 kama rais licha ya madai...
 8. Replies
  0
  Views
  2,071

  Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi, India

  Bibi kizee mmoja amenyongwa hadi kufa na wanakijiji wenzake kwa tuhuma za ushirikina, kaskazini mashariki mwa India.
  Polisi katika jimbo la Assam wamesema mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 63,...
 9. Replies
  0
  Views
  1,035

  Blatter atupiwa pesa Zurich

  Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter ametupiwa pesa na mtu aliyevamia mkutano wake na wanahabari.
  Mvamizi huyo aliyetambuliwa kama Lee Nelson raia wa Uingereza aliondolewa ukumbini...
 10. Replies
  4
  Views
  883

  Re: MWILI WA KAMUKARA WAFIKA SALAMA MULEBA

  lala salama kamanda
 11. Replies
  1
  Views
  1,117

  Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

  Habari za hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa...
 12. Replies
  0
  Views
  1,129

  Wanasoka wa nje kupunguzwa England

  Shirikisho la kanda kanda nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakaosajiliwa katika ligi za nchi hiyo....
 13. Replies
  0
  Views
  1,070

  Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini Ufaransa

  Ndege ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 Imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa.
  Ndege hiyo ilikuwa imewabeba abiria 142 na wahudumu 6 ikitoka Barcelona...
 14. Replies
  28
  Views
  4,352

  Re: Mkapa Ajitosa kwenye siasa za makundi CCM

  yangu ya macho mwaka huu tutasikia mengi ni kazi kwako kujua pumba ni ipi
 15. Replies
  4
  Views
  1,218

  Bush mwengine ataka urais Marekani

  Aliyekuwa Gavana wa Florida kupitia tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Jeb Bush ameripotiwa kujiuzulu kutoka nyadhfa zake zote za bodi akijiandaa kuwania urais mwaka ujao.
  Gazeti la The...
 16. Replies
  0
  Views
  945

  Kila la kheri vijana wa form 4

  leo vijana wetu wa form 4 wanaanza mitihani yao kwa niaba ya member nzima ya MF tunawatakia mitihani mema yenye kila aina ya mafanikio na mjitahidi kujiepusha na kila udanganyifu
 17. Replies
  1
  Views
  433

  Rais Michael Sata wa Zambia aaga dunia

  Familia ya Bwana Sata wameiambia BBC kuwa Rais wa Zambia, Michael Sata, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77 katika hospitali ya London alikokuwa akitibiwa ugonjwa ambao haujatajwa.
  Kifo chake...
 18. Replies
  5
  Views
  840

  Re: Hodi waungwana wa MF

  Karibu sana hili ni jukwa huru
 19. Replies
  20
  Views
  4,256

  DIRISHA LA USAJILI LAFUNGWA; WALIOTOKA NA KUINGIA KLABU ZOTE ENGLAND HADI SEKUNDE YA

  ARSENAL
  WALIOINGIA
  Alexis Sanchez (Barcelona, Pauni Milioni 30), Calum Chambers (Southampton, Pauni Milioni 12), Mathieu Debuchy (Newcastle, Pauni Milioni 10), David Ospina (Nice, Pauni Milioni 3),...
 20. Re: Ajali mbaya yatokea Kibaha, yafunga barabara ya Morogoro

  poleni sana mliopata ajali vipi mkuu hakuna aliyefariki
 21. Re: Hotuba ya Waziri Kivuli wa Nishati na Madini

  umesikaka mkuu muda mchache utaipata
 22. Re: Rekodi ya David Moyes iliyomfanya afukuzwe

  yaaani bora jamaa alivyofukuzwa maana ilikuwa ishakuwa tabu tena timu imekuwa jamvi la wageni
 23. Replies
  7
  Views
  1,461

  Tanzania watwaa Kombe la Dunia

  Timu ya taifa ya Tanzania kwa watoto wa mitaani imenyakua Kombe la Dunia kwa watoto wa mitaani, katika mashindano yaliyozishirikisha timu za mataifa mbalimbali duniani huko Rio de Janeiro, Brazil...
 24. Replies
  13
  Views
  2,298

  robo fainal uefa champion league

  CHELSEA YACHEZEA KICHAPO CHA KUTANDIKWA MAGOLI 3 KWA 1 HUKU REAL MADRID IKIAADHIBU DORTMOND MAGOLI 3 KWA 0 ROUND YA PILI KUFANYIKA WEEK IJAYO
 25. Replies
  1
  Views
  598

  hatimae man united yaingia robo fainal

  Jana usiku man united walijitutimua nakufanikiwa kuingia robo fainal ya uefa champions league kwa magoli 3-0 hivyo kuifanya kusonga mbele kwa magoli 3-2 hushindi huu unampa afueni kocha david moyes...
Results 1 to 25 of 59
Page 1 of 3 1 2 3