Close

Search:

Type: Posts; User: mkonge; Keyword(s):

Page 1 of 7 1 2 3 4

Search: Search took 0.59 seconds.

 1. Replies
  6
  Views
  767

  Re: Salma: Sitarudi nyuma

  safi ujasiri mkubwa wakuigiwa mfano nchini zanzibar
 2. Replies
  3
  Views
  567

  Re: Makamba akae pembeni kupisha uchunguzi

  Tusubiri watumbuane au ajitumbue
 3. Thread: TUMESHINDA

  by mkonge
  Replies
  24
  Views
  4,322

  re: TUMESHINDA

  Kubenea kama kawaida yako umepewa mdomo na kalamu fanya kaziiiiiii. Uozo na mataputapu yote hadharaniii mapema asubuhi kule mjengoni
 4. Replies
  13
  Views
  4,618

  Re: SIRI YA KUJIUZULU PROF. LIPUMBA YAVUJA

  Inasikitisha kwakweli ya wanachama wanapigwa vile na polisi. kumbe jamaa anacheza na wakubwa. Hii dhambi itamtafuna maisha yote.
 5. Replies
  0
  Views
  555

  MAWIO please !!! Ongezeni NAKALA mikoani

  Kama mfanyabiashara ,nazurula mikoani kwa ajili ya soko ili kukuza biashara yangu. Mimi kama mdau wa Mawio sipendi kulikosa gazeti hili kila wiki ifikapo alhamisi lakini sasa nina mwezi sasa...
 6. Thread: JF YAKOPI MF

  by mkonge
  Replies
  14
  Views
  3,496

  Re: JF YAKOPI MF

  Utoto tu... huyu jackson manyerere ndiye aliyekopi bila kutoa credit siye issue..TUACHE UTOTO WAKUU.
 7. Replies
  17
  Views
  2,834

  Re: AFANDE SELE AMFUATA ZITTO ACT

  Sugu alishatushtua tuwe makini nae sio kila ishu ya chama aijue ,kila time zzito,zitto . WAKO WENGI YUMO : leticia Nyerere,lucy owenya,Upendo peneza,Arfi,shibuda, kuna jamaa watatu makao makuu Tanga...
 8. Replies
  18
  Views
  3,338

  Re: ZITTO KAJIMALIZA KISIASA

  MREMA MWINGINE HUYU.!!
 9. Replies
  9
  Views
  2,203

  Re: TATIZO SIO LOWASA, TATIZO NI NAPE

  MAKAPI uraisi utawaua. vp Ms hujapewa ukuu wa wilaya bado Jk anaondoka ? legeza mkanda dada.
 10. Replies
  5
  Views
  826

  Re: IMANI ya MWANA ACT Tanzania

  Daaa!!! aiisee. Yericko mchokozi sana. mwacheni mzalendo aende ACT wala msizuie mana uenyekiti ni wake.
 11. Replies
  7
  Views
  1,810

  Re: PROF. BAREGU: ZITTO HAMNAZO

  Hii title ni heshima naomba mawio waitumie alhamisi!!.
 12. Replies
  58
  Views
  13,030

  Re: JARIBIO LA KUTIWA SUMU SLAA

  mmmh!!! hii ni hatari sasa chadema wanapaswa kuwa makini kwa nyakati kama hizi.
 13. Re: NCCR Mageuzi wamsimamisha Kahangwa kuwania Urais UKAWA

  Tusubiri... muda ndio utasema
 14. Replies
  4
  Views
  2,336

  Re: Shabani Gurumo na Utamu wa Fedha

  kazi ipo tusubiri!!!
 15. Replies
  12
  Views
  3,086

  Re: SASA NAAMINI KWELI ZITTO NI MSALITI

  Critical thinking!!!
 16. Replies
  7
  Views
  1,340

  Re: NAE HYUYU NI MBUNGE WA CHADEMA?

  ngoja nimpigie ni hoji ,ajibu mwenyewe hapa jukwaani.
 17. Re: JAMIIFORUMS NA MALARIA SUGU WAACHWA SOLEMBA KATIBA MPYA

  Mbona MS ni mdau wao siku nyingi?!!
 18. Replies
  17
  Views
  2,579

  Re: KAMATI YA ZITTO YAMUONEA TIBAIJUKA

  prof. Tibaijuka anajua aliowalipa hizo pesa awataje,mtu atakupaje zawadi bilioni 1.6 kama hana maslahi naye,sasa kuna baadhi ya watu na magazeti yanatetea wezi hatukubali ng'o!! lazima wawajibike
 19. Replies
  8
  Views
  1,525

  Re: SAMAHANI SANA MBUNGE ZITTO KWA HILI

  sio zitto tu,hata sisi wengine ushauri wa bure!!
 20. Replies
  10
  Views
  1,515

  Re: JK amteua Prof. Mussa Juma Assad CAG mpya

  Ingia ofisini Profesa tuanze kazi,huko halmashauri wako wezi, fanya kazi mzee!!!
 21. Thread: PINDA MAHUTUTI

  by mkonge
  Replies
  4
  Views
  1,021

  Re: PINDA MAHUTUTI

  Pinda, kwa nia njema aacha ofisi,jiudhuru!!! ni aibu kwakweli haya mambo yameanza mbali,please onyesha uungwana.
 22. Replies
  12
  Views
  2,373

  Re: CCM HAINA NIA YA DHATI DHIDI YA UFISADI

  CAG walitaka kumkana,Meli imeshatoboka wanatapatapa Ufisadi umewalaa!!
 23. Re: ESCROW ACCOUNT KULAMBA VICHWA UCHAGUZI MKUU 2015

  Tusubiri, Tusikubali haraka majibu mepesi,Tuhuma zionekane,Tusisamehe mtu,Tuwaburuze mahakamani.(4T)
 24. Replies
  42
  Views
  7,087

  Re: MAASKOFU 3 WAKATORIKI WAHONGWA

  Nabii kilaini naye yumo, duu!!! kweli sio wote wasemao bwana!" bwana!! wataingia pale mahali.
 25. Replies
  7
  Views
  1,429

  Re: MBIO ZA URAIS. SITTA AKATA TAMAA MAPEMA

  hahaha!" ni hatari,jamaa sikatengeneza katiba nzuri na bora afrika mashariki .vp tena?
Results 1 to 25 of 166
Page 1 of 7 1 2 3 4