Close

Search:

Type: Posts; User: Ubungo President; Keyword(s):

Page 1 of 18 1 2 3 4

Search: Search took 0.10 seconds.

 1. Replies
  6
  Views
  1,352

  Re: BwanaYule alistahili Saluti?

  BwanaYule kapigiwa saluti? Mh..................loading Yeye ninani? lakini nakumbuka walimgonga Rungu Polisi Mtongani huyu au ilikuwa ni sinema tuuu Lakini ndiye aliye tinga Ikulu kumpongeza Mh.JPM
 2. Re: Makonda anaweza kutengua kauli ya Rais?

  utawala huu unaweza kuamua chochote wakati wowote na wala usichukuliwe hatua yoyote pale inapobainika kumefanyika makosa viongozi wajitahidi kutumia akilizao vizuri bna busara ndio ngao yao pupa...
 3. Re: Lema: Mrisho gambo hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi

  mwelekeo wa Tanzania kwasasa kwa Mtu mwenye akili timamu kwasasa lipo swali je nivita dhidi ya upinzani au vita dhidi ya umaskini wetu mbona wanasiasa na Serikali kweli kazi ipo na Tusitake sifa kwa...
 4. Re: NAKUBALI, WATANZANIA WANA IQ NDOGO KULIKO NCHI ZOTE ZA AFRIKA MASHARIKI.

  Rais anapongezwa kwa kuokoa bilioni 1.2 zilizopaswa kutumika siku ya kuzima mwenge, wakati mwenge umezunguka nchi nzima Rais akiuangalia na umetafuna zaidi ya bilioni 100
 5. BREAKING NEWS.... Didas Masaburi Afariki Dunia

  http://3.bp.blogspot.com/-XNjP98s8Vz0/VnI00_qGu_I/AAAAAAAArrY/XUQ3cwQ1RdE/s1600/2.jpg

  BREAKING NEWS....
  Didas Masaburi, aliye wahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam kupitia chama cha Mapinduzi...
 6. Replies
  4
  Views
  573

  Re: Team Lipumba Afariki dunia

  Hakuna ajuaye siku ya kufa sote ni wapitaji katika hii dunia lakini mungu ndiye ajuye Mkweli na Mwongo huku ya siku ya mwisho haita kuwa ya chama itakuwa ya mmoja mmjoa
 7. Replies
  2
  Views
  417

  Re: Kesi ya Mhe.BULAYA Vs.WASIRA

  anataka awawakilishe wenzie walioko Gombe maana mzee amekuwa king'ang'anizi kam kupe haaamini kama kashindwa? atuondolee ushamba hapa
 8. Mwalimu Msigwa kiboko wa wanafunzi majeuri awaomba msamaha Watanzania

  https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14591836_664046577082706_411517142449116415_n.jpg?oh=014d3512d484c855e122d34fd53828a7&oe=58698EE5
 9. Re: EVARIST CHAHALI AMPA SOMO BEN SAANANE NA GENGE LAKE

  Ray kigosi alipata kiki kwa maji tuuuuuuu hivyo tuvumiliane
 10. Re: Tutaachaje kufananisha Ndege hizi na Bajaji? kama zimepita nchi zaidi ya 10

  Rais kanifurahisha aliposema ndege zimeshuka mpaka milima ya Alps zilienda kutaliii?
 11. Re: KUIBIA JAMII NI SAWA NA KUMWIBIA MUNGU: WANAFUNZI HEWA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

  teeeteteteteeheteteteee kazi ipo Tuamini wapi JUU chini
 12. CUF WAMJIBU MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA JAJI FRANCIS MTUNGI

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
  Tarehe: 24 Septemba, 2016
  The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kimepokea kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kile kinachoitwa “Msimamo na Ushauri...
 13. Re: Mlingwa amtumbua Magufuli Bungeni

  ukweli maisha magumu sio utani
 14. Replies
  1
  Views
  255

  Re: Serikali ya mazwazwa

  kupora haki kubaya kwanza unakuwa na hofu wakati wote, habari yeyote itakayo zungumzwa ikishabihiana na kile kinacho fanywa na Mpora haki huhisi anasema yeye kazi ipo nchi maskini kukosolewa...
 15. Re: Breaking News: Mapambano Ya Polisi Vs Majambazi Vikindu, Majambazi 14 Wauawa.

  GUUUD JOB wanastahili pongezi
 16. Re: Mkakati mzito serikali, CCM dhidi ya Ukuta wavuja

  Mh kazi kwelikweli Septemba mosi itaeleweka mbivu na mbichi
 17. Re: USHAURI KWA ALHAJ LIPUMBA- PART 2

  namshauri Pfr apumzike aachane na siasa kwani kwa alicho kifanya hastahili kusamehewa ingelikuwa jeshini angeweza kuhukumiwa kijeshi
 18. Replies
  5
  Views
  435

  Re: Makonda jipu?

  hahahaahhahahaha Mbavu zangu sina
 19. Replies
  2
  Views
  290

  Re: Huu unafiki utaisha lini?

  hapo sasa huenda Mtu anapopata madaraka imani huwa poromoka kinacho baki ni kuimba nyimbo za kumtaja mungu huku rohoni wakibakia kuwa wachawi
 20. Replies
  6
  Views
  308

  Re: Airport inaulazima gani.

  kiwanja cha Makao Makuu ya nchi Dodoma kimekamilika?
 21. Re: NAPENDEKEZA CHADEMA NA CUF WABADILISHANE WANACHAMA HAWA.

  waacheni waendeleee kuwa na uraia Pacha
 22. Replies
  3
  Views
  358

  Nipeni Siri Vunjo

  RAIS John Magufuli,kumteua Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole,Lakini ni Mbunge mstaafiu wa Jimbo la Vunjo

  Nika kumbuka Rais Mstaafu Jakaya Mrisho...
 23. Re: VIJANA HAWA NI HATARI KTK UMOJA NA NDANI YA CCM

  Utumwa wa vyama unawetesa watu hata kushindwa kukosoa baya linalo fanywa na chama chake hafu tuna pewa ahadi za maendeleao hatuwezi kufika
 24. Replies
  0
  Views
  1,082

  Wanaita salio

  http://www.usesofcoconut.com/wp-content/uploads/2014/08/Coconut-milk.jpg

  http://1.bp.blogspot.com/-tOVkT1jYLRE/UuAyiqwGM9I/AAAAAAAAYFc/2pKjp8yUHSw/s1600/CTBKiagaliCassava.jpg

  Nimekutana na...
 25. Replies
  6
  Views
  526

  Re: Matokeo ya Kukurupuka ndio haya

  Hapa tukubali makosa umakini mdogo lakini kwa mataifa makubwa ni fedhehea na pia inashusha hadhi ya serikali tumsamehe bure mgeni wa Ofisi
Results 1 to 25 of 442
Page 1 of 18 1 2 3 4