Close

Search:

Type: Posts; User: Mshangai; Keyword(s):

Page 1 of 8 1 2 3 4

Search: Search took 0.09 seconds.

 1. Replies
  0
  Views
  3,649

  Kweli Utawala Huu Unaogopa Watu Wake?

  Hii kasi ya kuzuia Uhuru was habari ni ishara kuwa watawala wanawaogopa RAIA hawataki wajadiliwe?
  Huu sasa utakuwa ushahidi kuwa mwenendo wake ni mbovu
 2. Replies
  2
  Views
  712

  Kupiga Ngoma VS Kuongoza. Fanya Uwezacho

  Tumeshuhudia kiongozi mmoja akilalamikiwa kuwa anaongoza huku uchumi umemshinda kuutengemanisha, elimu ya juu kwa Vijana ni utata kuhusu mikopo, Ajira hakuna, madawa hata yale ya lazima na chanjo za...
 3. Re: Kampuni ya Mbowe Hotels inaendeshwa kimagumashi na hailipi kodi

  Kwa hiyo hilo ni tamko la TRA? We kweli nunda, uzushi tuu kama kahaba asiye na soko!
  Peleka ushahidi wako TRA kisha wao ndio watatoa tamko
 4. Re: Kuna matumizi HEWA ya fedha za Ruzuku ndani ya CHADEMA

  Hivi nani ana matumizi mabaya ya ruzuku kati ya hawa wawili.
  Mmoja watumishi wa chama wanalipwa mishahara kila Mwezi na michango ya mifuko ya jamii inakwenda kama kawaida na mwingine yeye hajalipa...
 5. Re: Wabunge wa Viti Maalum UKAWA hatarini kuwa Machangudoa Dodoma

  Kuwa na heshima na watu wewe! Pale kuna wake za watu na mama wa watu hivyo matusi kama yako hayakubaliki na nashangaa mods wanaangalia tuu. Kwani wewe baba yako alipokuwa anasafiri na kuchelewa...
 6. Re: Naibu Spika ameonyesha udhaifu kwenye hili.

  Kwa kweli naweza kusema sasa wabunge wa Ukawa wanaendekeza ubwege. Matusi sio hoja na kama mtu analeta matusi na kiti hakioni sababu ya kukemea basi kilichopaswa kufanyika ni kutembeza kipigo tuu....
 7. Replies
  4
  Views
  502

  Re: TIBAIJUKA: MAGUFULI ANAONEA

  Watu wameanza kuchoka na usanii sasa wanampa za uso. Yaani miezi sita tuu hali imekuwa hivi? Labda ndio maana hawataki bunge tulione maana moto huwa unaanzia kule. Kuna watu mule Presidaa amekaa nao...
 8. Replies
  4
  Views
  494

  Re: MAGUFULI MBONA HAIGUSI UDA?

  Ni kama vile jamaa wa Msoga kamwambia sogea pale UDA uone! Wachezee haohao ila anga zangu usiingilie utajuta!
 9. Re: mbowe na genge lake la ukawa wazidi kula za uso bungeni pm noma kamvua nguo mbowe

  Nilikuwa sitembelei huku nikidhani ushabiki maandazi utakuwa walau umepungua kumbe umezidi.
  Kauli ya PM ambayo imedhihirisha kuwa serikali ilikuwa imejisahau wewe unasema imemuumbua Mbowe? Nyaraka...
 10. Re: Ni yupi kati ya wafanyabisahara hawa marafiki wa Lowasa ananyanyaswa na Serikali

  Kwa hiyo Manji diwani wa ccm anakuwa mfadhili wa Ukawa? Peleka ujinga huu nyumbani kwako mlikozoea ujinga
 11. Re: Dr slaa ameondoka na chadema yake mbowe ukawa yake inamfia mikononi mwake.

  Kweli kabisa humu jukwaani wako Malaya wa kiwango cha juu kabisa wa siasa. Huyo Slaa mkiongozwa na Nape mlisema no babu, mzushi,muongo na ndiye anaua chama. Leo kaondoka na chama kimeongeza...
 12. Replies
  8
  Views
  790

  Re: UKAWA WANAISOMA NAMBA

  Sikudhania kuwa una kiwangi cha chini hivyo kuelewa. Utaundaje baraza kivuli bila kufahamu kwanza wizara zitakazo kuwepo?
  Pili kambi rasmi ya upinzani bungeni haijazinduliwa na kiongozi wake...
 13. Re: Mnyika Aibukia Sakata la Bandari, Asema Dawa ya Jipu Sio Kulitumbua

  Kwani aliacha lini kugongwa huyu?
 14. Re: hivi ndio vichwa vibovu vya ukawa vinavyofikiria

  Baada ya kuona ccm haiaminiki wenyewe wakaanzisha CHAGUA MAGUFULI. Sasa kaingia na umagufulism wanamtaka arudi kwenye uccm na yeye hataki anataka awatumbue majipu yao kama adhabu ya kumpigisha pushup...
 15. Re: BASATA WAUFUNGIA RASMI WIMBO WA ROMA MKATOLIKI

  Hawa si ndio walimshindwa Shilole? Walimfungia lakini akaendelea kukata mauno majukwaani
 16. Re: BIL. 10 ALIZOPIGA MBOWE TOKA KWA LOWASSA HIZI HAPA.

  Kuna watu wanaumbeya kuliko mashoga. Hii mada uliandika mpini ukiwa umekukabili ? Mtoto wa kiume badili tabia rudi kwenye mstari
 17. Re: Je kitendo cha wabunge wa upinzani kutoka nje ya bunge ni utii kwa spika au woga?

  Ule ndio uungwana,unafikisha ujumbe kwanza halafu unatii agizo.
  Ila sijapata kumuona Shein anaona aibu kama ilivyokuwa jana. Heshima yake ya miaka mingi toka akiwa VP jana imeporomoka to zero
 18. Replies
  6
  Views
  897

  Re: ZITTO AMUHUJUMU KAFULILA UBUNGE

  Hukuona leo wapinzani wenzake wamepinga Shein kutambuliwa kuwa ni Rais wa Zanzibar badala ya Rais mstaafu yeye kaamua kumtambua kama wafanyavyo ccm. Hata walipotoka yeye kabaki na kusifiwa na...
 19. Replies
  16
  Views
  1,534

  Re: Nambalapala na TataMadiba Vipi viti maalum?

  Najaribu kuona jinsi Juliana atakavyotumika mjengoni nakosa picha kabisa. Ndio shida ya Vitu Maalum kwa ccm, ukifika tuu wanaanza kukugombania kama mpira wa kona.
 20. Replies
  7
  Views
  1,395

  Re: AG Masaju VS Tundu Lissu; Second round

  @Malaria Sugu hiyo habari ni kweli
 21. Re: KWA MUNGU KILA GOTI LITAPIGWA, LOWASSA AWEKA SILAHA CHINI, NI JUHUDI ZA TB JOSHUA

  Udaku nao ni kipaji mtu anazaliwa nacho.
 22. Replies
  7
  Views
  1,395

  AG Masaju VS Tundu Lissu; Second round

  Magufuli ameamua kumrudisha bondia wa Kikwete aliyechakazwa katika round ya kwanza, mwanasheria mkuu Masaju ili apambane tena na Tundu Lissu aliyekuwa mnadhimu wa upinzani Bungeni.
  Jee Masaju...
 23. Replies
  10
  Views
  1,775

  Re: MTOTO WA RAIS KARUME AIPINGA CCM ZANZIBAR

  Hapa kuna swali kubwa sana la kujiuliza kwa wale pangu pakavu wanaojifanya kukifia chama, huyu mtoto kazaliwa na kukulia ndani ya neema ya ccm lakini anaiona na kuitangaza kuwa ni mbovu. Jee wale...
 24. Re: Uspika; CCM Kumkomesha Magufuli wakimpa Sitta

  Kwa hiyo Dada unakubaliana na hoja kuwa hakuna badiliko lolote na maisha yataendelea kuwa ya style ileile chini ya ccm isiyo badilika?
 25. Re: MBOWE NI MZOEFU WA KUSUSIA, LOWASSA, SUMAYE NA KINGUNGE NASIKIA HOI

  Badala ya kujadili changamoto za taifa unaendeleza udaku na upuuzi. Hii no kujishushia hadhi
Results 1 to 25 of 188
Page 1 of 8 1 2 3 4