Close

Search:

Type: Posts; User: FANANI; Keyword(s):

Page 1 of 2 1 2

Search: Search took 0.01 seconds.

 1. Re: BASATA WAUFUNGIA RASMI WIMBO WA ROMA MKATOLIKI

  Mi nafikiri wimbo ulitakiwa kuhaririwa 2,il kuondoa maneno makali ingawa hajayaimba 1 kwa 1..kam vil motherfu........,pia kiseng........wakat wapo wasanii wanaimba pumba balaa mara dem wang njoo...
 2. Replies
  6
  Views
  2,720

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  Kibaya zaid kuna Wabunge wamekopa mikopo kwa ajil ya kampen huk wakitegemea posho zitakuwa zinawakim...sas kibao cha maisha bora kwa kila MTZ kinawageukia wao..
 3. Re: polisi watumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Wafanya kazi Kiwanda cha Urafiki

  Kutaka suluhu au kuuwajibisha Uongoz wa kiwanda:confused:?
 4. Replies
  3
  Views
  501

  Re: Nani fisadi zaidi Afrika?

  Wafanyabiashara na Wanasiasa na wanashirikiana na Wasomi ambao ndo washauri wakuu
 5. Replies
  1
  Views
  729

  Re: Fedha za sherehe ya Uhuru kupanua barabara

  Hiyo mwakan ianze kujengwa kwel hiyo bara2 co mnaanza tuko kweny mchakato..pia na bandar kavu zijengwe mlandiz na chalinze pa1 na reli ili kuondokana na adha ya malori kuingia jijini.
 6. Replies
  3
  Views
  11,013

  Re: TRA yaichunguza ‘bandari’ ya Azam

  Mi yang macho na mackio
 7. Re: MAGUFULI ANATAKA MABADILIKO BILA KUPITIA CHAMA CHAKE

  Kama Magufuli anataka kufanya mabadiliko kwel,kitu cha kwanza ni kusafisha uozo wote uliopo Serikalini....
 8. Replies
  1
  Views
  1,474

  Re: BREAKING NEWS:Azam fc yamrejesha Sterwat Hall

  soka la bongo bana raha tupu...
 9. Replies
  4
  Views
  5,053

  Re: SERA MPYA YA ELIMU TANZANIA HII HAPA

  Kama una mtoto au ni wa ndugu yako anayesoma shule ya serikal,mwambie akupe risit za michango ya mwaka mzima halaf jumlisha michango yote,hapo ndio utajua kuwa hz skul ni za kifisad..
 10. Re: HAHAHAHAHAHAHAHA NIMEIPENDA HII JAMANI CHEKA NA WEWE.

  Labda ni gest ya walokole 2..
 11. Thread: NA KIPANYA.

  by FANANI
  Replies
  2
  Views
  2,783

  Re: NA KIPANYA.

  saf san...
 12. Replies
  1
  Views
  3,688

  Re: Kuna mapenzi ya kweli siku hizi?

  Eeeeh kwel kabisa,unapotak kutoa maamuz jarb kufkiria kwanz
 13. Replies
  14
  Views
  10,986

  Re: USALITI HUU UNAUMIZA JAMANI.

  Kaka u must control your emotion first..utafanikiwa
 14. Replies
  1
  Views
  1,123

  Re: Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

  Duuh siasa za dunia hii balaa,wakubwa wa dunia wameona huyu jamaa hawez akaendan na interest ze2 ss dawa ni 1 tu,kumtoa madarakani wakat alichaguliwa kidemokrasia...Afrika wa kuikomboa ni cc wenyew...
 15. Replies
  4
  Views
  5,053

  Re: SERA MPYA YA ELIMU TANZANIA HII HAPA

  Tunaweza tukawa tunaongoza kwa siasa uchwara ktk bara la Afrika na mikakat isiyokuw na maana
 16. Replies
  3
  Views
  4,914

  Re: TAARIFA TOKA NACTE.

  Asant kwa taarifa mkuu
 17. Replies
  5
  Views
  11,451

  Re: ELIMU YA MAHUSIANO, KARIBU.

  Umemaliza kila ki2,sina la kuongezea
 18. Replies
  3
  Views
  4,370

  Re: WADADA HAYA KAZI KWENU SASA!!

  Yataka moyo,mambo ya malavidav.....
 19. Replies
  24
  Views
  4,507

  Re: Kejeli za Shabani Gurumo

  Hakuna kitu kibaya kwa Viongoz wetu kam nafs za wananchi zinavyolalamika kuhus utawala mbovu kama huu..laana za wananchi ni mbaya
 20. Replies
  23
  Views
  3,098

  Re: KIKWETE NA TUZO YA MO IBRAHIM

  Angekuwa hayati Baba wa Taifa angechukua hiyo tuzo...Tuzo ya Mo Ibrahim huwa haitolew kwa kupeana tu,kama wabongo tunavopeana tenda kishkaji.Unafanyika utafit wa kutosha na kuangalia ni mambo gani...
 21. Re: AZAM TV YAZINDUA STUDIO YA BIL 56, KIKWETE MGENI RASMI

  Uwekezaji kam huu ndio unaotakiwa,tena na Mtanzania mwenzetu.....
 22. Replies
  26
  Views
  6,343

  Re: TIBAIJUKA & SERIKALI

  Heeeh...! kumbe wako wengi kihivo,mbona sasa wanawafunga kibua wanawaacha papa upanga?

  - - - Updated - - -


  Bora angesema ya kuchangia ujenzi wa shule jimboni kwake.....

  - - - Updated - - -
 23. Replies
  3
  Views
  1,232

  Re: NDEGE YA JESHI YAPATA AJALI MWANZA

  Pole kwa rubani,tena unastahil tuzo......
 24. Replies
  6
  Views
  1,076

  Re: VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

  Polisi wetu wamekosa busara kabisa,hawakutakiwa kutumia nguvu,walitakiwa kushirikiana na viongozi wa eneo husika ili wajadili ni hatua gan za kuchukua ili wananchi wasiwe na tabia ya kunywa pombe...
 25. Replies
  5
  Views
  2,427

  Re: Chadema yaigaragaza CCM

  Bado kwenye ubunge,huko lazima walie labda waibe kura maana jamaa wezi hao kufuru....
Results 1 to 25 of 30
Page 1 of 2 1 2