Close

Search:

Type: Posts; User: Monica Sanga; Keyword(s):

Page 1 of 20 1 2 3 4

Search: Search took 0.49 seconds.

 1. Replies
  0
  Views
  1,064

  Watu wawili wauawa Mandera

  Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatulia risasi gari moja mjini Mandera katika hali ya kutatanisha, ripoti zinasema.

  Wanajeshi wamekuwa wakifanya...
 2. Mazungumzo ya kutafuta amani Burundi kuanza

  Mazungumzo ya kusuluhisha mzozo wa Burundi yataanza tena leo mjini Kampala, chini ya usimamizi wa rais Yoweri Museveni wa Uganda.
  Museveni aliteuliwa na Jumia ya Afrika Mashariki kuongoza mchakato...
 3. Waasi waunda vuguvugu dhidi ya Nkurunziza

  http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/15/150515065026_soldiers_640x360_reuters.jpg

  Waasi wanaompinga Rais Pierre Nkurunziza wameungana kuunda vuguvugu...
 4. Replies
  0
  Views
  1,077

  somalia ya piga marufuku Krismasi

  http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/12/21/151221141618_kenya_624x351_ap_nocredit.jpg

  Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha sikukuu ya...
 5. Replies
  0
  Views
  1,311

  Amnesty yainyooshea kidole Burundi

  http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/12/12/151212165651__87178067_87178066.jpg

  Shirika la kutetea haki za Binadamu Ulimwenguni la Amnesty...
 6. Replies
  1
  Views
  809

  Blatter na Platini nje kwa miaka 8

  http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/12/21/151221092400_michel_platini_and_sepp_blatter_624x351_afp_nocredit.jpg

  Maafisa wawili wakuu zaidi katika usimamizi...
 7. Waziri Mkuu Acharuka.....Asema Wabadhirifu Watang'olewa Mara Moja

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na...
 8. Replies
  0
  Views
  1,096

  Lubanga na Katanga wahamishiwa DR Congo

  http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/10/06/151006153614_germain_katanga_512x288_icc.jpg

  Viongozi wa zamani wa waasi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
 9. Dkt. Kigwangalla atumbua MAJIPU ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya

  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika ofisi za wizara hiyo kwa kusimama getini kuzuia wafanya kazi wote wa...
 10. Replies
  0
  Views
  974

  Wanyarwanda washiriki kura ya maoni

  http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/12/18/151218055610_rwanda_referendum_512x288_bbc.jpg

  Raia wa Rwanda wameanza kufika vituoni kushiriki kwenye kura ya...
 11. MRADI WA GESI MTWARA_DAR ES SAALAM WAKAMILIKA

  Mradi wa kuchakata gesi asilia kutoka madimba Mtwara-Songosongo hadi Dar es saalam umekamilika na kuwezesha uzalishaji umeme katika mitambo ya Kinyerezi ,Ubungo, Tegeta na kuingizwa kwenye gridi ya...
 12. Afrika kujadili nafasi yake katika uchumi wa dunia

  Mawaziri kutoka Mataifa 160 wanakongamana hii leo jijini Nairobi ikiwa siku ya kwanza ya Kongamano la Shirika la Biashara Dunani, WTO.
  Ni mkutano wa kwanza ya aina yake barani Afrika.

  Mjadala...
 13. Re: Dr. MWAKA ATIMUA MBIO BAADA YA N/WAZIRI WA AFYA KUFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA FOREP

  Anaweza kuwa ni kanjanja huyo,
 14. Replies
  0
  Views
  1,281

  Obama: Tumeipiga IS kwa nguvu Novemba

  Rais wa Marekani, Barack Obama amesema vikosi vya Marekani vinawashambulia wanamgambo wa Islamic State kwa nguvu kuliko wakati mwingine.

  Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari katika...
 15. Jeshi la Nigeria labomoa madhabahu ya kishia

  Kundi kuu la kiislamu nchini Nigeria linaloungwa mkono na waislamu wa Kishia wa Iran, linasema kuwa mke wa kiongozi mkuu Sheikh Ibrahim Zakzaky, ameuwawa katika makabiliano na jeshi kaskazini mwa mji...
 16. Replies
  3
  Views
  577

  Madiwani CCM washindwa kusoma kiapo

  KATIKA hali ya kushangaza Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita juzi liligeuka kituko baada ya madiwani wanne kati ya 49 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kusoma kiapo kwa...
 17. Replies
  0
  Views
  1,053

  Raia wa Marekani kuondoka Burundi

  Serikali ya Marekani imeshauri Raia wake walio nchini Burundi kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya watu 87 kuuawa kwenye ghasia zilizotokea siku ya Ijumaa.

  Ghasia zilizojitokeza...
 18. Mwana wa Gaddafi aachiliwa huru Lebanon

  Mwana wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi, Hannibal, ameachiliwa huru baada ya kutekwa nyara kwa muda na kundi la wapiganaji, duru za kiusalama zinasema.

  1252

  Kwenye video...
 19. MAAFISA WA FORODHA WAKAMATWA MKOANI MBEYA

  Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro ameagiza kukamatwa kwa baadhi ya maaafisa wa forodha wa Tunduma mpakani mwa Zambia ili kupisha uchunguzi na kuisaidia polisi katika uchunguzi wa shehena ya...
 20. Replies
  0
  Views
  717

  Kambi za kijeshi zavamiwa Burundi

  Milio ya risasi na milipuko imesikika usiku kucha katika maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Burundi, Bujumbura.

  Mshauri wa rais Pierre Nkurunziza, ameiambia BBC, kuwa wapinzani wa serikali walijaribu...
 21. Mshindi wa tuzo ya soka ya BBC Afrika kutangazwa

  http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2012/02/29/120229232732_wbr_focus_512x288_bbc_nocredit.jpg
  Tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka inayoandaliwa na BBC, itawekwa...
 22. Replies
  0
  Views
  931

  Watu 50 wauawa Kandahar

  http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2013/05/15/130515062625_pakistan_taleban_512x288_bbc_nocredit.jpg

  Serikali ya Afghanstan inasema vikosi vyake vimeua...
 23. Replies
  0
  Views
  1,149

  YANGA KUTIA TIMU LEO TANGA

  http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/kikosi-yanga_210_120.jpg
  MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo wanaianza safari ya kwenda Tanga kusaka pointi sita muhimu. Yanga itakuwa na mechi...
 24. Mourinho ahofia Ligi ya Mabingwa msimu ujao

  http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/Mourinho-300x198.jpgKOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Klabu Bingwa
  barani Ulaya msimu ujao...
 25. WAISLAM KUZUIWA KUINGIA NCHINI MAREKANI

  http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/11/28/151128102448_donald_trump_512x288_ap_nocredit.jpgMgombea mtarajiwa wa uraisi kupitia chama cha Republican nchini...
Results 1 to 25 of 499
Page 1 of 20 1 2 3 4