Close

Search:

Type: Posts; User: 50thebe; Keyword(s):

Page 1 of 4 1 2 3 4

Search: Search took 0.30 seconds.

 1. Re: KITILA MKUMBO. CHAMA KINACHOPINGA MAHAKAMA NI UDIKTETA

  Inawezekana Prof Mkumbo hakuwa akifahamu kipengele hiki kilichomo kwenye katiba ya CHADEMA?

  Si imesemwa alipata kuwa mkuu wa mipango na sera kwenye hicho chama?

  Ndio hivyo tena Profesa, japo...
 2. Replies
  8
  Views
  2,040

  Re: TANZANIA DAIMA MAJANGA

  sikujua kuwa kuna Watanzania hawaruhusiwi kubadili mwajiri
 3. Re: BREAKING NEWS: SEGEREA WAMUAPISHA MWENYEKITI WAO

  Mwaka huu wapiga kura watakuwa wanaapisha viongozi waliowachagua. Tume ya uchaguzi ikae mkao wa kukubaliana na wapiga kura.
 4. Replies
  4
  Views
  803

  Re: Mwigulu kikaangoni

  Eti Kinana amemwandikia barua Mwigulu

  774
 5. Replies
  6
  Views
  1,128

  Re: ANA MAKINDA KULIDHIBITI BUNGE

  Wewe Malaria Sugu

  Mfano wako wa Spika Makinda na George Masatu ni mfano mfu. Hakuna analogue hapo.period
 6. Re: siri ya namna wazazi wako wanavyoweza kukukwamisha au kukufanikisha maisha yako

  Mkuu Aweda

  Hoja hii naona kama imekosa mashiko. Kimsingi, mzazi anawajibika kumtunza mtoto aliyemleta hapa duniani. Suala la ama mzazi ni fukara ama mzazi ni maskini sidhani kama mtoto kichanga...
 7. Re: RIPOTI MAALUM: HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI HALI NI MBAYA

  Kiukweli taarifa ya hali mbaya ya Muhimbili inashtusha sana!

  Pengine Mh Raisi Kikwete akirejea toka America atatupia macho hapo ili kuboresha hali
 8. Re: Benard Kamillius Membe: Kachero aliyebobea, mwanadiplomasia mtata na rafiki wa wa

  Andiko murefu lakini halina misingi ya kimaadili (ethos and morals). Hataree sana hii
 9. Replies
  73
  Views
  18,511

  Re: WALIOFANYA VURUGU UBUNGO NI UKAWA NA SIO CCM

  Warioba ni Mwiba mkali kwa CCM
 10. Replies
  18
  Views
  4,838

  Re: BREAKING NEWS: POLE POLE AZUILIWA ITV

  Sikujua kama kuna uhusiano wa jina na hoja, hapa naona huyu mwenye jina la Malaria Sugu anafanana na hoja zake.
 11. Re: LIVE KINACHOENDELEA KWENYE MKUTANO WA UKAWA VIWANJA VYA JANGWANI

  Freeman Mbowe: "Makubaliano haya ni mpango wa Mungu na yoyote atakayepinga mpango huo wa Mungu mabaya yatamkuta".

  Neno lina uzito wa pekee hili. Bila shaka ni tambiko la mchana kweupe
 12. Replies
  8
  Views
  1,880

  Re: LOWASSA NA PINDA NANI ZAIDI!

  Ulifanya kosa kubwa sana kutokuongea lolote. Ungetumia fursa hiyo walau kuuliza kuhusu sifa za anayefaa kuwa raisi badala ya kusikiiza mjadala wa kulinganisha waliofikisha taifa mahali ambapo ni duni...
 13. Replies
  52
  Views
  9,386

  Re: Serikali Hoi Taabani - Part 4

  Wakati wengine wanaona serikali imelemewa na madeni jambo ambalo ni hatari kwa taifa, baadhi yetu tunaona sio sahihi taarifa hizi kuwafikia wananchi, tunaenda mbali zaidi kuona ni sahihi wanatumia...
 14. Replies
  6
  Views
  2,134

  Re: Waandishi wa Habari ambao ni makada wa CCM

  Hivi Al Haji Juma Nkamia (MB) alikoma kuwa mwanahabari?
 15. Re: Kwanini tunajua siri za mafanikio lakini hatufanikiwi?

  Mkonge

  Siri ya mafanikio inaendana na kipimo cha mafanikio. Hivyo basi, kujua siri ya mafanikio ni suala moja na kupima mafanikio ni suala tofauti. Namna gani unaunganisha mawili haya ndio utakuwa...
 16. Re: MGOGORO NDANI YA JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA

  Tamko zito linakuwaje? Tusaidieni waungwana
 17. Replies
  27
  Views
  5,157

  Re: KESI DHIDI YA BUNGE HUU NDIYO WAKATI WAKE

  Somo kubwa ni moja tu, kwamba: Wapinzani wakiungana kwa maslahi mapana ya Taifa, CCM itakuwa historia.

  UKAWA wamethibitisha kuwa ni mwiba ndani ya ngozi ya CCM, jitihada za UKAWA zinapoungwa...
 18. Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Story hii inakuja kama maji ya bahari yanavyojinasibu pwani mchangani. Yaani mara maji yanajaa, halafu pwani inapungua mara maji yanakupwa halafu upwa unasambaa, nasi tunapata kulambaza macho mpaka...
 19. Re: DK SLAA ANASALI KANISA GANI?NATAKA NIONANE NAE

  Malaria Sugu

  Kama suala ni kuonana na Dr Slaa, vipi option ya kumfuata ofisini kwake pale Mtaa wa Ufipa, Kinondoni?
 20. Replies
  5
  Views
  5,685

  Re: YAJUE HAYA KABLA HUJAANZA MCHAKATO WA KUOA

  Mkubwa Tanzania yote sote

  Bajeti itanifaa sana hii

  Itabidi nikutafute tunywe bia huku tukijali kuona namna gani bajeti inaweza kushuka hii.
 21. Replies
  13
  Views
  2,453

  Re: ITV YAPEWA BARUA YA KUJIELEZA

  Super Moderator Kubenea

  Hujasikia lolote ili ku-confirm hili suala

  Asante
 22. Replies
  11
  Views
  4,467

  Re: PJ NA BARBRA HASSAN CHONDE! CHONDE!

  Waacheni Clouds FM wawapotezee UKAWA.

  Kuna mahali kanda wa CCM kijana Paul Makonda aliandika "UKAWA WAPUUZWE".

  Na tunaendelea kuona faida ya wito wa Bw Makonda wa kuwapuuza UKAWA.

  Enyi...
 23. Mch Gwajima: Hakuna Ugonjwa wa Dengue-Watu wa Sekta ya Afya Mnasemaje kwenye hili?

  https://www.youtube.com/watch?v=ee9i-vwnHyA

  Published on Jun 3, 2014

  Tarehe 18.05.2014; Mchungaji Josephat Gwajima wa Ufufuo na Uzima alifichua habari zilizo nyuma ya ugonjwa wa dengue...
 24. Replies
  12
  Views
  1,721

  Re: ZITTO NI KISIKI CHA MPINGO NDANI YA CHADEMA

  Sikujua kama Ukisiki wa Mpingo wa Zitto ni kushinda rufaa yake kwa baraza kuu. Walau nimejua tafsiri mupya ya kisiki cha mpingo
 25. Thread: ANGUKO CHADEMA

  by 50thebe
  Replies
  15
  Views
  2,818

  Re: ANGUKO CHADEMA

  Chadema ni habari kubwa kweli kweli kuliko hata CCM, swali ni kwa nini iko hivi? Ama ndio dalili za kuwa chama dola?
Results 1 to 25 of 99
Page 1 of 4 1 2 3 4