Close

Search:

Type: Posts; User: adolay; Keyword(s):

Search: Search took 0.12 seconds.

 1. Re: MBOWE NI MZOEFU WA KUSUSIA, LOWASSA, SUMAYE NA KINGUNGE NASIKIA HOI

  Hoja za mpumbavu siku zote hubeba upumbavu.

  Hawezi kuona tunavyotaabika kwakukosa
  -umeme
  -Afya duni
  -kodi kubwa
  -maji
  -mabarabara mabovu
  -wazee kutopewa huduma za msingi nk
 2. Replies
  7
  Views
  1,576

  Re: WABUNGE WA BUNGE LA 11 HAWA HAPA

  Ccm ya leo nawabunge wao ni faluire maana mambo yakipuuzi kwao ni ndiyooooooo

  Sijuwi Asumpta Mshama karudi tena.......yule mama kwa kelele za kijinga daaaaa utatamani kuivunja tv.
 3. Replies
  7
  Views
  913

  Re: JAMIIFORUMS HACKED AGAIN AGAIN?

  Nishiiiida
 4. Re: Baada ya UKAWA kususia sherehe za Kuapishwa Rais Magufuli, msiende Ikulu kunywa j

  Eti elimu bure mpaka kidato cha nne....!!! Ushenzi kabisa

  Elimu ya kidato cha nne itamsaidia nini mtoto wa mkulima?

  Endapo mzazi kashindwa kulipa walau Tsh 30,000 kwa mwaka michanga nk elimu ya...
 5. Replies
  12
  Views
  1,409

  Re: Uspika; CCM Kumkomesha Magufuli wakimpa Sitta

  Wosa mafiganyanza
 6. Re: SAMSON MWIGAMBA NA PROF. MKUMBO KITILA TUANDIKIENI MAKALA NA WASIFU WENU KISIASA

  Hawa hawafai kurudi chadema kabisa.

  Unawezaje kuinywa sumu ambayo ilikuponyoka kikombe kikadondoka nakunjika na ukabaini 100% ilikuwa sum?

  Hao hawafai isipokuwa warudi kule wanakotumwa na...
 7. Replies
  12
  Views
  3,847

  Re: CCM JIMBO LA LUDEWA

  Wewe utakuwa bwege, taratibu za chcma chenu si wazijuwa.

  Noja muda ufika jina lako litakatwa kule juu kwa juu na utasubiria halitorudi.

  Nikukumbushe kaulimbiu ya makada wa ccm wao husema - CCM...
 8. Replies
  18
  Views
  2,957

  Re: CHADEMA SASA JIANDAENI

  Mungu awasamehe hususani mtoa hoja.

  Nidhahili kinachohubiriwa ndani ya hoja hii ni upuuzi wa kidini sion lolote la maana zaid ya ujinga.
 9. Thread: MABILIONIYA JK

  by adolay
  Replies
  3
  Views
  1,126

  Re: MABILIONIYA JK

  Sion lolote kwa kiongozi dhaifu na mbumbumbu kama kikwete aweke kumbukumbu yoyote.

  Yeye mwenyewe ni mwizi, mnafiki na muongo kupindukia. mptoshaji na mgawa madaraka kwa ndugu jamaa na marafiki.
  ...
 10. Replies
  29
  Views
  4,662

  Re: ACT - TANZANIA - PRESS REASE

  Tuwaombee sana ndugu zetu Mkumbo na Mwigamba

  Tulisikia wengi wakiilaum chadema, je hapa napo imekuwaje?

  Hawa jamaa hawafai hata kwa lolote labda wakirudi kwao CCM ambako wanakutumikia.
 11. Re: Lowassa...2015 ataanguka jukwaani na kufariki dunia

  Huu ni upumbavu, kila mtu atakufa na kifo husababishwa na mengi

  Wenye afya njema wengi wanakufa kwa ajali mbalimbali ikiwemo za ndege, kuna vifo vya ghafla sukari na pressure nk

  Mara zote...
 12. Replies
  21
  Views
  2,940

  Re: Serikali ikemee tabia ya kutabiria watu vifo

  Hii tabia ya kutabiria watu vifo ikiendekezwa itatowa mwanya kwa wenye uwezo kufanya mauwaji ya chinichin kama kutumia sum ilkufanikisha malengo wakiegemeza hujuma zao kubebwa na kujificha katika...
 13. Replies
  21
  Views
  2,940

  Re: Serikali ikemee tabia ya kutabiria watu vifo

  Bimkubwa 100% nakuunga mkono, niupumbavu na ujinga kutabiria watu kufa haingii kabisa akilin mwanadamu kujifanya kujuwa ya Maulana. Yeye pekee Allah ndiye mjuzi wa siku yakufa kwa sisi wanadamu.
  ...
 14. Re: Kwa Jirani hali bado ni tete, yahitaji maombi na sala.

  Kipi kimekusibu mama toto?
 15. Replies
  52
  Views
  11,810

  Re: RAIS KIKWETE KUSHTAKIWA KWA UCHOCHEZI

  Huko tuendako siyosalama kabisa.

  udhaifu wa viongozi katikati kutatua matatizo unapelekea kushawishi watanzania kuchukiana na kupigana.

  Naamini kabisa kauli hii itamvua nguo mfalme juha. Watu...
 16. Replies
  4
  Views
  698

  Re: Huu ni uchizi au kujisahau?

  CCM wanapigania kubaki na serikali mbili kwasababu ya kulinda:-

  1. Maslahi ya watoto na koo za viongozi, iliwanzibar waendelee kupata madaraka ya kure huku Tanganyika.

  Hakuna sababu ya maana...
 17. Replies
  31
  Views
  4,811

  Re: ACT-TANZANIA KUISAMBARATISHA CHADEMA

  Kuanzisha chama cha siasa ni rahisi sana.

  Kukijenga chma hicho na kukifanya kiwe na sura ya kitaifa nikazi ngumu sana.

  Kama nikwa ajiri ya kupamba majukwa na kuiponda chadema wala hakitachukuwa...
 18. Re: SERIKALI NA VIPAU MBELE VYA KUONGEZA GHARAMA ZA MAISHA NCHINI

  Hawa jamaa sio serikali ya kusaidia watanzania wa kawaida.

  -Niserikali ya kubeba mafisadi, majizi na majambazi

  a) Umeme bei juu.........makusanyo yanakoelekea haileweki

  b) Wafanyakazai tozo...
 19. Re: SERIKALI YA CCM YAENDELEA KUJIKAANGA KWA MAFUTA YAKE YENYEWE

  Hawezi kufukuza

  Kawambwa ni ndugu wa kikwete

  Hawa ghasia pia ni ndugu wa kikwete

  Isitoshe Mulugo kaondolewa kwasbabu ni mtu wa mbeya, kwanini asiondolewe waziri anaondolewa...
Results 1 to 19 of 19