Close

Search:

Type: Posts; User: dalalitz; Keyword(s):

Search: Search took 0.00 seconds.

 1. Selling or Looking? We are here to assist you.

  Are you in need of: A House/s, Apartment/s to BUY or RENT OR Plots?
  Are you looking for a Farm/s (Large and Small) in Dar or any nearby regions?
  OR
  Are you in need of a licensed Mining area for...
 2. Re: MAMA UMMY MWALIMU -MBUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO

  Ujumbe mzuri, Nia nzuri pamoja na kusudio lake.
  Tatizo ni approach ya kuufikisha ndio imesababisha wadau kuvutana,
  Vinginevyo mtafute huyo Ummy kipekeyenupekeyenu kisha umpe ujumbe mkiwa wawili.
 3. Re: MAKASISI(MAPADRI) NA MASISTA(WATAWA) JE RUKSA KUOA AMA KUOLEWA.

  Kwanini ya Ngoswe tusimuachie Ngoswe?
 4. Replies
  0
  Views
  1,527

  SHAMBA LA EKARI 50 LINAUZWA KIBAHA

  Shamba zuri la ekari 50 linauzwa kwa pamoja.
  Ni mahala pazuri pia kwa mradi wa viwanja kwa wale wanaoona mbali na wenye uwezo au sehemu kwa ajili ya ujenzi wa taasisi za kielimu.
  Lipo kilometa 4...
 5. Replies
  15
  Views
  12,101

  Re: BREAKING NEWS: Lowassa mgonjwa mahututi

  Napata wasiwasi kuamini kama mlengwa katika habari hii ni huyuhuyu Lowassa tunaemjua au kama kuna mwingine,
  Hainingii akilini kwamba mtu tuliembiwa yupo hoi Hospitali baada ya siku moja yupo mtaani...
 6. MF DEVELOPERS CHUKUENI HII: WAPI JUKWAA LA BIASHARA?

  Naamini zipo sera mnazozingatia katika kufanikisha kazi nzuri mnayoifanya.
  Hatahivyo, katika kuliboresha zaidi jukwaa napendekeza liwepo pia JUKWAA LA BIASHARA.

  Naomba kuwakilisha.
 7. Replies
  10
  Views
  2,076

  Re: Dar es Salaam School of Juornalism

  Ndugu kama itakuwa nime-elewa vyema mantiki ya swali lako ni kuwa unataka kufahamu mamlaka inayokitambua chuo hicho.
  (Yaani accredition body)-Ama?
  Kama hivyo ndivyo,
  Jibu sahihi zaidi wanalo jamaa...
 8. Re: Hawa ndio waliokuwa wakinipigisha ban Jamiiforums mara kwa mara

  Sipati mantiki ya wewe kulalama ugenini.
  Hata hivyo watu wote hao wawe wabaya kwako,
  Hudhani pengine ni wakati mwafaka kuagalia tabia na mwenendo wako?.
 9. Replies
  9
  Views
  1,604

  Re: MF na JF Kuna nasaba?

  Sema hujanielewa sio hatujakuelewa, wenzako mbona wameelewaa na wanatoa majibu.

  - - - Updated - - -


  Nishakaribia nduguyangu.

  - - - Updated - - -
 10. Replies
  9
  Views
  1,604

  MF na JF Kuna nasaba?

  Mie n-geni humu, Ndio kwaaanza natua Beto langu hapa.
  Haya,Mabwana na Mabibi mbona mwenyeji wangu MF yu-afanana sana na bwana akaitwa JF(kwa wasifu wa nje lakini)
  Je, Hawa mabwana wana nasaba?...
Results 1 to 10 of 10